Biblio Discovery — Demo Discovery Service

11 hasil untuk "Editha Adolph"

Menampilkan 1–11 · 0,74 detik · RSS

  1. Artikel Jurnal

    An Analysis of Kiswahili in Secondary Schools Instructional Dynamics: A Case Study of Secondary School Classrooms in Temeke Municipality

    Editha Adolph

    Journal of Linguistics, Literary and Communication Studies, Vol. 5 No. 1 · 2026 · Inggris · DOAJ

    This study investigates Kiswahili as the primary language of instruction in secondary classrooms in Temeke Municipal Council, Dar es Salaam, Tanzania, to assess its capacity to foster lasting, meaningful learning among adolescents. While English remains the official medium, many students lack…

  2. Artikel Jurnal

    Examining Kiswahili and Its Potential for African Development

    Editha Adolph

    Journal of Science, Innovation and Creativity, Vol. 5 No. 1 · 2026 · Inggris · DOAJ

    Kiswahili, a Bantu language that emerged along the East African coast centuries ago, has expanded significantly in both geographic reach and sociopolitical importance. Despite its growing number of speakers and its status as one of Africa’s most widely used indigenous languages, there remains…

  3. Artikel Jurnal

    Matumizi ya Misimu Moingoni mwa Wanafunzi: Uchunguzi Kifani katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Editha Adolph

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 1 No. 1 · 2023 · DOAJ

    Mtafiti wa makala hii anachunguza vyanzo vya misimu kwa wanafunzi katika Kiswahili. Mtafiti ametumia mbinu za hojaji, usaili na uchambuzi wa matini katika suala zima la kutimiza malengo ya makala hii. Kwa kutumia mbinu ya hojaji, mtafiti aligawa hojaji 15 kwa wanachuo 15 wa Chuo Kikuu cha Dar es…

  4. Artikel Jurnal

    Ukuzaji na Uenezaji wa Lugha ya Kiswahili katika Karne ya 21 Kupitia Maazimio, Matamko na Ushauri wa Viongozi wa Serikali katika MASIKIDU

    Editha Adolph

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 1 No. 1 · 2023 · DOAJ

    …Mpango, Mh. Mohamed Mchengerwa waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Adolph Mkenda Waziri wa Elimu nchini Tanzania na ya Mh. Abdulrahman Kinana makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara kama marejeleo ya maazimio, matamko, fursa na ushauri huo. Kimsingi utafiti huu ni wa uwandani. Utafiti huu…

  5. Artikel Jurnal

    Kufanana na Kutofautiana kwa Msamiati katika Lahaja za Lugha ya Kihaya: Mifano kutoka Kihamba na Kiziba

    Editha Adolph

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 1 No. 2 · 2023 · DOAJ

    Makala hii inafafanua dhana za kufanana na kutofautiana kwa msamiati wa lahaja ya Kihamba na Kiziba katika lugha ya Kihaya. Vipengele vinavyohusika katika kuchunguza kufanana na kutofautiana huko ni vipengele vya tahajia na matamshi. Lengo la ulinganishi na ulinganuzi huo ni kubainisha ikiwa kuna…

  6. Artikel Jurnal

    Ujitokezaji wa Viarudhi vya Kifonolojia katika Kihaya: Uchunguzi Kifani wa Toni katika Lahaja ya Kihamba

    Editha Adolph

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 1 No. 2 · 2023 · DOAJ

    Fonolojia ni taaluma iliyosheheni viarudhi au vipambasauti kama ambavyo wataalamu wengine huviita. Miongoni mwake ni toni, lafudhi, mkazo, nguvumsikiko, usilabi, kiimbo, unguvunguvu, kidatu na wakaa. Viarudhi hivi hupatikana takribani katika kila lugha ingawaje baadhi ya lugha huwa navyo vichache…

  7. Artikel Jurnal

    University Lecturers’ Skills, Readiness, and Attitudes Toward AI in Teaching Kiswahili: Evidence from Dar es Salaam

    Editha Adolph

    Journal of Science, Innovation and Creativity, Vol. 5 No. 1 · 2026 · Inggris · DOAJ

    The purpose of this study was to examine the integration of Artificial Intelligence (AI) in the teaching of Kiswahili within tertiary education institutions in Dar es Salaam, Tanzania, and to explore its potential as a transformative tool for enhancing language instruction. Specifically, the study…

  8. Artikel Jurnal

    Exploring the Expression of D-Features within Swahili Determiner Phrases

    Editha Adolph Kokusiima

    Journal of Linguistics, Literary and Communication Studies, Vol. 5 No. 1 · 2026 · Inggris · DOAJ

    This study examines how Swahili’s DP structure encodes definiteness, specificity, and focus without relying on overt articles, showing that its nominal system requires analytic tools beyond those developed for article‑based languages. Rather than invoking broad cross‑linguistic generalities, the…

  9. Artikel Jurnal Teks lengkap

    Mkakati wa Tafsiri Mkopo wa Istilahi za Kiingereza katika Kiswahili na Athari zake: Uchanganuzi wa Vidahizo Teule vya Kamusi ya Biolojia, Fizikia na Kemia

    Editha Adolph; Simon Chipanda

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 2 No. 1 · 2024 · DOAJ

    Makala hii inachunguza mkakati wa tafsiri mkopo wa istilahi za Kiingereza katika Kiswahili na athari zake kwa kuangazia uga wa biolojia, fizikia na kemia kupitia vidahizo teule vya Kamusi ya Biolojia, Fizikia na kemia (2012). Azma kuu ya uchunguzi huu ni kutathmini mchango wa tafsiri mkopo wa…

    Juga tersedia di: DOAJ

  10. Artikel Jurnal

    Hali ya Lugha ya Kiswahili katika Vyuo Vikuu nchini Tanzania: Mifano kutoka Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

    Sauda Uba Juma; Editha Adolph

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 1 No. 2 · 2023 · DOAJ

    Watafiti wa makaka hii wanaangazia hali ya lugha ya Kiswahili katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA[1] kuanzia sasa). Azma ya uchunguzi huo ni kutaka kubaini endapo lugha ya Kiswahili inapewa nafasi stahiki katika Chuo hicho au la. Hii inatokana na ukweli kwamba kuna baadhi ya taasisi…