Biblio Discovery — Demo Discovery Service

46 hasil

Menampilkan 1–20 · 0,48 detik · RSS

Jurnal

Journal of Kiswahili and Other African Languages

ISSN 2958-4914 · Utafiti Foundation · 46 artikel di indeks

  1. Artikel Jurnal

    Umuhimu wa Ngano katika Jamii ya Wasukuma: Uchanganuzi wa Kijamii na Kitamaduni

    Janeth M. Balele; Sydney E. Msonde

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 4 No. 1 · 2026 · DOAJ

    Makala hii ni sehemu ya utafiti uliofanyika kabla katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Ililenga kubainisha umuhimu wa ngano katika jamii ya Wasukuma wa Kahama, Mkoa wa Shinyanga, kwa muktadha wa kijamii na kitamaduni. Utafiti ulifanyika katika vijiji vya Mpera, Iyenze, Isagehe na mtaa wa Nyakato…

  2. Artikel Jurnal

    Female Musicians and the Preservation of Cultural Practices Through Vernacular Songs in Zimbabwe

    Magadalene F. Zivengwa; Wonder Maguraushe

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 4 No. 1 · 2026 · DOAJ

    Historically, the role played by female musicians in popular music in general, and in cultural development and preservation in particular, remains underrepresented despite their significant contributions. This paper focuses on the contributions that are being made by female musicians in the…

  3. Artikel Jurnal

    Uasi au Utatu katika Ujitambulishaji wa Wanajenizi: Matumizi ya Mihadarati katika Nyimbo za Gengetone

    Fred, C. N. W. Simiyu

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 4 No. 1 · 2026 · DOAJ

    Makala hii inahusu matumizi ya uasi ndani ya utatu kama mkakati wa kutambulisha vijana wa Jenizi kupitia nyimbo za Gengetone. Fasihi simulizi kupitia kipera kimojawapo cha nyimbo za gengetone, inatumiwa kupinga na au kuhimiza matumizi ya mihadarati kupitia majukwaa mbalimbali ya kidijitali. Kwa…

  4. Artikel Jurnal

    Uchanganuzi wa Ubanaji wa Maana za Maneno Katika Jukwaa la “Facebook”

    Simon Peter Katui

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 4 No. 1 · 2026 · DOAJ

    Makala hii inachanganua ubanaji wa maana za maneno katika jukwaa la Facebook. Suala la ubanaji wa maana za maneno katika mawasiliano limewavutia wasomi kadhaa. Hata hivyo, hakuna utafiti ambao umefanyika kuhusu ubanaji wa maana za maneno katika jukwaa la Facebook. Makala hii imejikita katika…

  5. Artikel Jurnal

    Matumizi ya Lugha katika Mandhari-Lugha ya Mji wa Njombe: Uchanganuzi wa Maandishi Katika Mabango ya Pikipiki

    Leopard Jacob Mwalongo

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 3 No. 1 · 2025 · DOAJ

    Makala haya yamechunguza matumizi ya lugha katika mandhari-lugha ya mji wa Njombe, kwa kujikita katika maandishi yanayopatikana kwenye mabango ya pikipiki mjini humo. Lengo la utafiti lilikuwa ni kubainisha lugha inayotumika katika mabango ya pikipiki mjini Njombe. Aidha, utafiti ulilenga…

  6. Artikel Jurnal

    Sababu za Kupungua kwa Matumizi ya Majina ya Asili Nchini Tanzania: Mifano Kutoka Ginantuzu Lahaja ya Kisukuma

    Njana Masanja

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 3 No. 1 · 2025 · DOAJ

    Miaka ya hivi karibuni majina ya asili yamekuwa yakikabiliwa na changamoto ya kupotea kwa kasi isiyo kifani hasa kwa vijana nchini Tanzania. Makala hii imechunguza sababu za kupungua kwa matumizi ya majina ya asili katika koo za Ginantuzu, mojawapo ya lahaja za Kisukuma. Makala imeongozwa na baadhi…

  7. Artikel Jurnal

    Uhifadhi wa Utamaduni kupitia Mchakato wa Tafsiri: Mifano ya Tafsiri ya Riwaya za Kaburi Bila Msalaba na Bwana Myombekere na Bibi Bugonoka, Ntulanalwo na Bulhawali

    Nyatichi Makini; Nathan Ogechi; Mosol Kandagor

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 3 No. 1 · 2025 · DOAJ

    Tafsiri ni mchakato wa kuhawilisha mawazo au ujumbe ulio katika lugha ya maandishi kutoka lugha chanzi kwenda katika lugha lengwa. Taaluma ya tafsiri inatumika kama nyenzo ya kueneza utamaduni, maarifa mapya, ujuzi, na uzoefu kutoka kwa jamii moja kwenda nyingine. Makala hii inakusudia kueleza…

  8. Artikel Jurnal

    Athari ya Upokezi wa Matendo ya Utu kwa Binadamu: Mfano wa Riwaya za Said Ahmed Mohamed

    Peres Akello Obondo; Juliet Akinyi Jagero; Naomi Nzilani Musembi

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 3 No. 1 · 2025 · DOAJ

    Ili pawepo na mahusiano mema kati ya binadamu, lazima pawepo na utu. Utu, hasa huhusishwa na binadamu. Hali kadhalika, huhusisha wema wowote unaomtendea mtu. Waandishi mbalimbali wa fasihi ya Kiswahili wamedhihirisha utu katika utunzi wao. Mtu anapopokea tendo la utu, huathirika kwa namna…

  9. Artikel Jurnal

    Kupotea kwa Maneno Chanzi katika Lahaja za Kiswahili: Uchunguzi Kifani wa Lahaja ya Kipemba

    Sauda Uba Juma

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 3 No. 1 · 2025 · DOAJ

    Tafiti mbalimbali zinaonesha kwamba, baadhi ya lahaja za Kiswahili zinaelekea kupoteza uasili wake kutokana na sababu mbalimbali zikiwamo za kijamii na kihistoria. Kupotea kwa maneno chanzi katika lahaja ni tatizo linalohitaji umakini wa haraka kwa sababu huenda kizazi kijacho kisiweze kuyatambua…

  10. Artikel Jurnal

    Tamathali za Usemi na Uchimuzi wa Maudhui ya Mamlaka katika Asali Chungu

    Victor Kyomuhendo; Samuel M. Obuchi; Mosol Kandagor

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 3 No. 2 · 2025 · DOAJ

    Lengo la makala haya ni kuchunguza jinsi Said Ahmed Mohamed anavyotumia tamathali za usemi mbalimbali kama vipengele vya kimtindo katika kuibua maudhui ya mamlaka katika riwaya yake ya Asali Chungu. Uchunguzi huu uliongozwa na Nadharia ya Uchimuzi, hasa mhimili wa ukiushi wa nadharia hiyo. Data…

  11. Artikel Jurnal

    Usawiri wa Ujumi katika Fasihi Simulizi: Uchambuzi wa Ngano za Wahehe

    Neema Julius Luhwago

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 3 No. 2 · 2025 · DOAJ

    Lengo la makala hii ni kujadili namna ujumi unavyosawiriwa katika fasihi simulizi, hususani ngano za Wahehe. Kusawiriwa kwa ujumi katika ngano za Wahehe kupitia vipengele vya ujumi kumeweka bayana uwiano wa vipengele hivyo na jamii husika. Aidha, athari zake kwa jamii husika zimebainishwa. Utafiti…

  12. Artikel Jurnal

    Utata wa Baadhi ya Viambishi Tamati katika Vitenzi vya Kiswahili

    Issaya Lupogo

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 3 No. 1 · 2025 · DOAJ

    Baadhi ya viambishi tamati katika vitenzi vya Kiswahili vimechanganuliwa na kuelezwa kwa namna zinazokinzana miongoni mwa wanaisimu mbalimbali. Makala hii inafafanua utata unaojitokeza katika suala hilo na kisha kupendekeza suluhisho muafaka. Makala hii ni matokeo ya utafiti wa mapitio ya…

  13. Artikel Jurnal

    Uchanganuzi wa Mofu katika Kauli Mbalimbali za Mnyambuliko wa Vitenzi vya Silabi moja: Lahaja ya Ginantuzu

    Njana Masanja

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 3 No. 2 · 2025 · DOAJ

    Suala la mfuatano wa mofu katika kauli za vitenzi limewavuta wanaisimu wengi. Hata hivyo, hakuna utafiti ambao umefanyika katika Kisukuma lahaja ya Ginantuzu kuhusu mfuatano wa mofu katika kauli za vitenzi vya silabi moja. Kwa hiyo, makala hii ililenga kuchunguza uchanganuzi wa mofu katika kauli…

  14. Artikel Jurnal

    Mofosemantiki na dhima ya Majina ya Ng’ombe kwa Kigezo cha Rangi: Mifano kutoka Jamiilugha ya Ginantuzu

    Njana Masanja

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 3 No. 2 · 2025 · DOAJ

    Makala hii inahusu uchunguzi wa mofolojia na semantiki katika majina ya ng’ombe kwa kigezo cha rangi hususani katika jamiilugha ya Ginantuzu. Lengo kuu la makala hii ni kubainisha maumbo yaliyomo katika majina ya ng’ombe, maana na dhima za majina ya ng’ombe. Utafiti huu ulifanywa katika mkoa wa…

  15. Artikel Jurnal

    Mikakati ya Utetezi wa Mazingira katika Riwaya za Nakuruto na Bustani Ya Edeni

    Erick Maina; Lina Akaka; Rose Mavisi

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 3 No. 2 · 2025 · DOAJ

    Makala haya yanalenga kutathmini utetezi wa mazingira katika riwaya za Nakuruto (2009) ya Clara Momanyi na Bustani ya Edeni (2001) ya Emmanuel Mbogo. Kufuatia uharibifu wa mazingira kote ulimwenguni, utetezi wa mazingira umekuwa ukifanyika katika majukwaa mbalimbali yakiwemo makongamano ya…

  16. Artikel Jurnal

    Utathmini wa Vitendoneni katika Ngano za Kinyankole

    Benon Mukundane; Magdaline Wafula; Nathan Ogechi

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 3 No. 2 · 2025 · DOAJ

    Makala hii inabainisha vitendoneni katika ngano za Kinyankole na athari za vitendoneni hivyo kwa wasikilizaji. Wanyankole wa jadi walizoea kusimuliana ngano na usimulizi wao ulitumia vitendoneni ambavyo viliathiri hadhira na kuichochea kutenda. Hata hivyo, vitendoneni hivi vilikuwa havijabainika…

  17. Artikel Jurnal

    Mchango wa Muziki wa Bongo Fleva katika Kuibua Msamiati Mpya na Maana Mpya za Kiswahili nchini Tanzania

    Ernest Daimon Haonga

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 3 No. 2 · 2025 · DOAJ

    Makala hii inachunguza jinsi muziki wa Bongo Fleva unavyochangia katika kuibua msamiati mpya na kutoa maana mpya katika lugha ya Kiswahili nchini Tanzania. Kwa kutumia Nadharia ya Uchanganuzi wa Maana katika Muktadha wa Jamii (Ethnopragmatiki), makala inachambua jinsi lugha inavyotumika katika…

  18. Artikel Jurnal

    Mtagusano wa Vipengele vya Utandawazi na Vipengele vya Falsafa ya Ubuntu katika Riwaya Teule za Kisasa za Kiswahili

    Bakita Malindi; Anna Kyamba

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 3 No. 2 · 2025 · DOAJ

    Riwaya za kisasa ni zile zilizoandikwa katika zama za utandawazi na huakisi maisha, changamoto, na mitazamo ya dunia ya sasa. Tofauti na riwaya zisizo za kisasa au za mwanzo zinazosawiri mfumo wa maisha unaowaunganisha Waafrika kuishi kwa umoja na kushirikiana katika shughuli mbalimbali za…

  19. Artikel Jurnal

    Maisha ya Penina Muhando na Mchango wake katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili

    Anna N. Kyamba

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 3 No. 2 · 2025 · DOAJ

    Penina Muhando ni mwanazuoni aliyetoa mchango mkubwa katika maendeleo ya fasihi na lugha ya Kiswahili. Mchango wake umeonekana hasa katika tamthiliya, sanaa za maonyesho pamoja na thieta ya umma ama sanaa kwa maendeleo ya jamii. Vitabu vyake vya tamthiliya vimeonesha namna alivyochangia katika…

  20. Artikel Jurnal

    Thamani ya Ukizinda wa Waswahili katika Riwaya ya Kiswahili: Mifano kutoka Riwaya Teule

    Arafa Jumanne

    Journal of Kiswahili and Other African Languages, Vol. 3 No. 2 · 2025 · DOAJ

    Makala hii inajadili kuhusu usawiri wa thamani ya ukizinda wa Waswahili katika riwaya ya Kiswahili kwa kuzingatia mifano kutoka riwaya teule. Dhana ya ukizinda huweza kutazamwa katika mielekeo mikuu mitatu. Mielekeo hiyo kwa mujibu wa Sanga (2018) na Jumanne (2025) ni mtu, vitu vya asili na sanaa…